MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE
NA SAMIA SULUHU HASSAN LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika...
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wanawake wawili kwa tuhuma za kufanya biashara ya ngono kwa...
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022
WAKATI michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikielekea ukingoni, vita ya ufungaji bora msimu huu imezidi kushika hatamu, washambuliaji wanapambana...
ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE
KIKUNDI cha sungusungu katika Mtaa wa Sangilwa, Kata ya Mondo, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, kimemtoza faini sh. 100,000 Masanja...
SMZ, UAE WATIA SAINI MIKATABA MITATU YA MAKUBALIANO
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imetiliana saini mikataba mitatu ya makubaliano na taasisi ya Zayed Bin Sultan Al Nahyan...
MAJALIWA AZIAHIDI NGOS KUENDELEZA USHIRIKIANO
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kukuza na kutoa...
DK. MPANGO ASEMA TANZANIA IMEJITOLEA KUHIFADHI BAHARI
MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema Tanzania imejitolea kikamilifu katika kuhifadhi, kutumia bahari na rasilimali zake kwa njia endelevu ili kufanikisha...
OTHMAN IMANI TELE KWA RAIS SAMIA
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewataka Watanzania kutumia vizuri uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani,...
MUSWADA SHERIA YA FEDHA WAWASILISHWA BUNGENI KUBORESHA UKUSANYAJI KODI
SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022, lengo likiwa kuweka mfumo tulivu wa kodi wenye kutabirika, kuboresha taratibu...
MANGULA, JAJI WARIOBA WASISITIZA MARIDHIANO, UMOJA WA KITAIFA
VIONGOZI waandamizi wastaafu na wanasiasa wakongwe nchini, Philip Mangula na Jaji Mstaafu Joseph Warioba, wamesisitiza umuhimu wa maridhiano katika taifa...
WATALII WAFURIKA
RAIS Samia Suluhu Hassan,amesema Mkoa wa Arusha umefurika watalii na kusisitiza amani na utulivu maeneo yote ya nchi, ili watalii hao...
NASREDDINE NABI MTAALAMU ALIYEONGOZA CHEREKO YANGA
PAMOJA na ubora wa kikosi cha Yanga msimu huu ni ngumu kuacha kumtaja Kocha Nasreddine Nabi, raia wa Tunisia. Nabi...
HAWA NDIO MAKIPA NYOTA LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu huu imefikia ukingoni, bado mchezo mmoja kwa kila Klabu kabla ya ligi hiyo kumalizika. Michuano hiyo ambayo...
RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUPUNGUZA TOZO YA BARABARA
CHAMA cha Wasafirishaji Tanzania (TAT), kimeipongeza Serikali kwa kuweka punguzo la tozo katika matumizi ya barabara, kutoka dola za Marekani...
TAMISEMI YAWAITA KAZINI WAAJIRIWA WAPYA 16,676
SERIKALI imeajiri watumishi wapya 16,676 wa kada za elimu na afya huku ajira 736 kwa upande wa afya zikikosa sifa, hivyo maombi...
KIHONGOSI AONGOZA MAELFU YA VIJANA KUHAMASISHA USHIRIKI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI
WAKATI Watanzania wakiendelea kujiandaa kwa ajili ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu, Umoja wa Vijana...
SERIKALI KUSAIDIA MATIBABU WAGONJWA WA FIGO
SERIKALI imesema ina mkakati wa kupunguza gharama za kusafisha figo nchini ikiwemo kununua vifaa tiba na vitenganishi moja kwa moja...
AWESO AONGOZA UTIAJI SAINI, UGAWAJI WA PIKIPIKI 250
WAZIRI wa Maji Juma Aweso, ameongoza kazi ya utiaji saini mikataba ya dira za maji za malipo kabla ya matumizi...
DK.PIMA NA WENZAKE KIZIMBANI TENA ARUSHA
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk. John Pima (44) na wenzake wawili, wamepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya...
SERIKALI YAKATA MZIZI WA FITINA UKOMO MAFAO KWA WASTAAFU
SERIKALI imesema hata kama mtumishi wa umma akiishi zaidi ya miaka 30 tangu kustaafu kwake, ataendelea kulipwa mafao yake tofauti...
WANADIPLOMASIA WAELEZWA KINACHOENDELEA LOLIONDO
SERIKALI imeihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kuwa hali ni shwari katika eneo la Ngorongoro na Loliondo, mkoani Arusha tofauti na inavyoelezwa na...
SEKTA YA AFYA KUCHANGIWA SH. BILIONI 98
WADAU wanane wa Mfuko wa Pamoja wa Afya, wameahidi mwaka huu wa fedha kuchangia zaidi ya sh. bilioni 98 ili kuwezesha...
WAZIRI JENISTA ASEMA RAIS SAMIA ANATAKA USAWA NGAZI YA UAMUZI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama, amesema Rais Samia Suluhu...
UFARANSA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI
SERIKALI ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75...
WABUNGE WAJA JUU SAKATA LOLIONDO
SERIKALI imesema hakuna vijiji vya wananchi katika eneo la Loliondo na Simanjiro, ambavyo vimetangazwa kuwa sehemu ya mapori ya akiba,...
DRC YAIWEKEA NGUMU RWANDA
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), imeiwekea ngumu Rwanda katika mchakato wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutaka...
JELA MIAKA 20 KWA KUMLAWITI MTOTO
MAHAKAMA ya Mkoa wa Wete, imemhukumu mkazi wa Pandani, Ali Sharif Ali (19), kutumikia kifungo cha miaka 20 jela na...
DAKTARI AELEZA ATHARI KUVAA MIWANI YA MACHO BILA KUPIMA
WANANCHI wameaswa kutovaa miwani ya macho, kabla ya kupimwa ili kuepuka madhara makubwa ya kiafya. Pia, wameshauriwa kuacha tabia ya...
RAIS SAMIA ATOA MAAGIZO MANNE Z’BAR
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuzingatia maeneo manne katika utekelezaji madhubuti wa dhamira ya...
KWA HERI JOSIAH MUFUNGO
LEO ndiyo safari ya mwisho ya Josiah Ekwabhi Mufungo, mhariri mkongwe, ambaye ameacha historia ya kipekee katika tasnia ya habari...