Monday, May 16, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo RIWAYA

SIKU YANGU YA KWANZA KABURINI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
October 18, 2021
in RIWAYA
0 0
0
SIMULIZI YA SIKU YANGU YA KWANZA KABURINI

SEHEMU YA 4

0
SHARES
60
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

SEHEMU YA 4

ILIPOISHIA….

KATIKATI  ya mduara huo  niliona msichana mrembo sana. Yaani mzuri wa ajabu.

Alivaa nguo  nyeupe za Hariri. Alijisitiri mwili mzima na alisimama  mbele yangu hatua chache  kutoka  nipokuwa nimekaa.

Aliachia tabasamu  pana katika uso wake mzuri na kunyoosha mikono yake  kama vile  anayeniita.

“Chriss,”aliniita tena.

“Wewe ninani na unataka nini kwangu?” nilimuuliza huku nikimshangaa.

MTUNZI: CHRISTOPHER LISSA

ISBN ….978-9987-9886-1-7

(Toa maoni ya simulizi hii 0654 58 67 88, 0629 643 419)

SASA ENDELEA…

“MH!!Mimi ni malaika?”

“Malaika?” nilihoji.

“Ndiyo! Malaika”

“Malaika  wa Mungu au malaika wa shetani?” niliomhoji huku nikisimama.

Ulipita ukimya kidogo! Yule msichana akabetua macho yake na kunitazama  kwa umakini. Akaachia tabasamu pana.

“Malaika  wa kuzimu,” akanijibu.

“Kuzimu!!?

“Ndiyo! Kuzimu,”

“Kwa hiyo wewe ni Malaika wa Shetani?”

Hakunijibu…

“Unataka nini kwangu?”nikamuuliza.

“Chriss! Wewe umechaguliwa. Wewe umechaguliwa maalumu ”

“Nimechaguliwa? Nimechaguliwa na nani?”

“Umechaguliwa na Mkuu”

“Mkuu? Mkuu gani!?”

“Mkuu wetu wa kuzimu”

“Shetani!!?” nikamaka kwa mshituko.

Hakunijibu tena…

“Nichaguliwe kwa lipi?”

“Kuna kazi anataka kukupa,”

“Kazi!!? Kazi gani!!?”

“Mkuu anakuhitaji. Atakueleza  kazi  ya kufanya ukifika kuzimu,”

“Nikifika kuzimu!!?”

“Ndiyo! Mi nimewkuja kukuchukua  utapewa maelezo tukifika kuzimu” alijibu

“Mimi siko tayari! Siko tayari  tena uondoke hapa mara moja. Siko tayariii,” nilijibu kwa hamaki..

“Sikiliza Chriss, ili kazi hiyo ikamilike lazima uzae na mimi mtoto ambaye ndiye atakuja kuifanya kazimaalumu atakayo pangiwa na mkuu wa kuzimu ,”alisema  kiumbe huyo.

“Nizae na wewe?”

“Ndiyo! Inatakiwa tufunge ndoa. Ndoa itafungwa kuzimu na atazaliwa mtoto mwenye nguvu ya ajabu sana,”

“Tokaaaaa! Tokaaaa,” nilipiga ukulele mkuu  huku nikianza kumkabili kiumbe huyo.

Yule kiumbe alipiga ukelele na kubadilika ghafla. Akawa yule  bibi kizee  niliyekuwa nimekutana naye katika msitu wa Mputa kule shambani.

Akapandwa na ghadhabu kuu na akabaki akinitazama akiwa amesimama kwenye kona.

Baada ya hapo akapiga tena ukulele na kutoweka ndani humo kimuujiza.

                                                            *********

“Mamaaaa!” nikashituka kwa kupiga yowe kali  kutoka usingizini huku ni kitweta sana.

Kwa haraka nilibaini haikuwa ndoto bali ni tukio la kweli lililotokea. Nikaanza kuvuta pumzi fupifupi huku mapigo ya moyo yakienda kasi.

Sikujua kama watoto au mke wangu walisikia kelele nilizo piga. Nikachukua kibatari na kungia chumbani.

Mke wangu alikuwa amelala fofo. Alikuwa amejifunika shuka jeupe siku hiyo. Baada ya kujiandaa kwaajili ya kulala  nikapanda kitandani.

Kabla sijazima kibatari nikamgeuza mke wangu  ili asogee upande wake. Nilipomgeuza nikapigwa na mshituko ghafla,  baada ya kubaini aliyekuwa amelalla kitandani hapo hakuwa  mke wangu bali  ni yule Malaika wa  kuzimu  akiwa katika umbo lake la umalaika.. USIKOSE KUFUATILIA SEHEMU YA 5 YA RIWAYA HII YA KUSISIMUA

 

 

 

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
SHAKA AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHAPAKAZI KUINUA UCHUMI

SHAKA AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHAPAKAZI KUINUA UCHUMI

0
TTCL YAJIVUNIA UTOAJI HUDUMA WA MAWASILIANO KIMATAIFA

TTCL YAJIVUNIA UTOAJI HUDUMA WA MAWASILIANO KIMATAIFA

0
KIKONGWE KUHITIMU PHD

KIKONGWE KUHITIMU PHD

0
MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA CPC

MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA CPC

0
UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022
SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

May 11, 2022
MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

May 11, 2022

Recent News

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022
SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

May 11, 2022
MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

May 11, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In