Wednesday, May 18, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

BALOZI ZA TANZANIA NJE YA NCHI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SIDO KUENDELEZA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI HAPA NCHINI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 23, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
BALOZI ZA TANZANIA NJE YA NCHI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SIDO KUENDELEZA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI HAPA NCHINI
0
SHARES
76
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameielekeza Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia SIDO kushirikiana Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Balozi za Tanzania nje ya nchi katika kupata teknolojia rafiki, mitaji, kutafuta masoko ili kuendeleza viwanda vidogo na vya kati hapa nchini, kukuza ajira na kuchangia kikamilifu katika ukuaji wa uchumi.

Dkt. Mpango ameyasema hayo alipokuwa akifungua rasmi Maonesho ya tatu (3) ya SIDO Kitaifa yanayolenga kutoa fursa kwa wajasiliamali kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji, kubadilishana uzoefu na ujuzi na kuboresha bidhaa kulingana na mahitaji ya soko ambayo yanafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 31 Septemba 2021 katika viwanja vya Umoja Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma.

Akizungumzia Kauli Mbiu ya Maonesho hayo ya SIDO ya mwaka huu inayosema “Pamoja Tujenge Viwanda kwa Uchumi na Ajira Endelevu”, Dkt. Mpango ameagiza kuwa maonesho au maadhimisho mbalimbali yanayofanyika nchini yafanyiwe tathmini ya utekelezaji wa Kaulimbiu husika ya kipindi/mwaka uliotangulia.

Aidha, Makamu wa Rais ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kufanya tathimini kuhusu utekelezaji wa malengo ya kuanzishwa kwa SIDO pamoja na kupitia mahitaji ya bajeti yake na kutoa mapendekezo ya mikakati mipya ya kuiboresha na kuitafutita vyanzo vingine vya mapato ili kuiwezesha Tanzania kukidhi mahitaji ya uchumi wa kati.

Vile vile, ameelekeza SIDO na Taasisi zote za umma na binafsi zinazojihusisha na maendeleo na teknolojia ya viwandani zichukue hatua za dhati na kujiwekea malengo ya kulinyanyua Taifa katika utengenezaji wa mashine mbalimbali za kuchakata na kuongeza thamani mazao ya kilimo kwa kutumia teknolojia rahisi na nafuu.

Makamu wa Rais pia amezitaka Taasisi za kifedha kubuni na kutoa Mikopo kwa wajasiriamali wadogo yenye riba nafuu, kutoa elimu kuhusu ubora wa miradi, usimamizi wa miradi na matumizi adili ya mikopo inayotolewa ili kuongeza uzalishaji, ajira na kupunguza umaskini huku akiwataka wajasiriamali hao kurejesha mikopo hiyo kwa wakati.

Kwa upande wa SIDO, Dkt. Mpango aliliagiza Shirika hilo kuendelea kuhamasisha na kutoa mafunzo kwa wananchi ili waweze kuingia katika shughuli zinazotumia teknolojia rahisi na nafuu hususan katika uzalishaji na uongezaji thamani wa mazao na bidhaa mbalimbali kwa kutumia mashine, vipuri na bidhaa zinazozalishwa kwa gharama nafuu, zinazokidhi viwango na kuhimili ushindani wa soko.

Aidha, Dkt.Mpango aliitaka SIDO kutafuta vyanzo vingine vya mapato ili kutunisha Mfuko wa Taifa wa Kuendeleza Wajasiriamali (NEDF) ili kuwapatia wajasiliamali mikopo yenye masharti nafuu, kutoa elimu, ujuzi, taarifa, mtaji, kuwalea na kuwakuza pamoja na kutangaza fursa hizi kwa wananchi.

Dkt Mpango pia alitoa wito kwa wananchi kuungana na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuhakikisha kuondoa changamoto ya upungufu wa mafuta ya kula nchini kwa kuongeza uwekezaji katika kilimo na uchakataji wa mbegu za mafuta huku akiagiza uwekezaji wa Kiwanda kikubwa cha kukamua na kutakasa Mafuta ya Mawese kuanzishwa Mkoani Kigoma kabla ya Mwaka 2025.

Katika kuboresha mazingira ya Biashara na uwekezaji, Dkt. Mpango amewaelekeza Wakuu wa Mikoa wote nchini kupitia Kamati za Maendeleo za Mikoa kuongeza viwanda vidogo kila Wilaya vinavyochakata mazao ya kilimo. Pia amezitaka Wizara za Kilimo, Viwanda na Biashara, Elimu, Teknolojia & Mafunzo ya Ufundi na Wizara ya Fedha na Mipango kutoa kipaumbele kwa utafiti na maendeleo (R & D) ili kukuza humi wa viwanda nchini.

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In