Saturday, August 13, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

NAIBU WAZIRI KASEKENYA ATOA SIKU 10 MIZANI YA NYAKAHURA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
July 14, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
NAIBU WAZIRI KASEKENYA ATOA SIKU 10 MIZANI YA NYAKAHURA
0
SHARES
127
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ametoa siku 10 kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Kagera, kuhakikisha anamsimamia mkandarasi anayejenga mizani ya Nyakahura mkoani humo, kumaliza ujenzi na kuanza kutolewa huduma za upimaji wa magari katika mizani hiyo kama zamani.

Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miradi ya barabara, mizani na madaraja mkoani humo, Naibu Waziri Kasekenya, amesema kuwa, kusimama kwa huduma za upimaji wa magari katika mizani hiyo kunaisabibishia Serikali hasara kubwa, kwani kupitia fursa hiyo magari yanaweza kuzidisha uzito na kupelekea kuharibu barabara.

“Ujenzi wa mizani hii inabidi ukamilike mapema iwezekanavyo, nimeambiwa hapa kwa siku yanaweza kupita magari zaidi ya 500, hivyo magari kutokupima hapa inaweza ikawa sababu ya wasafirishaji kuzidisha uzito na kupelekea kuharibu barabara zetu ambapo Serikali inatumia kiasi kikubwa cha fedha ili kuzijenga”, amesema Kasekenya.

Aidha, amemuagiza Meneja huyo kufanya utaratibu wa kuandaa mchoro wa mizani nyingine ya pili, pembezoni mwa mizani ya kwanza ili kuepusha msongamano amabao unaweza kujitokeza.

“Haiwezekani sehemu inayopitisha magari mengi kama hii ikawa na mizani moja ya kupima magari yanayotoka na yanayoingia nchini, hivyo nakuagiza tena Meneja kuandaa mchoro na kuuwasilisha Wizarani ili tutenge fedha kwa ajili ya mizani ya pili”, amesisitiza Kasekenya.

Kuhusu suala la barabara katika mkoa huo, Kasekenya amesema kuwa Serikali imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 12.8 kwa ajili ya ukarabati mdogo wa barabara ya Lusahunga – Rusumo (Km 92), huku ikisubiri taratibu za manunuzi ya kumpata mkandarasi wa kufanya ukarabati mkubwa.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri Kasekenya, amekagua daraja la Kitengule lenye urefu wa mita 140 na barabara za maingilio zenye urefu wa kilometa 18 ambapo ameridhishwa na kasi ya ujenzi ya mradi huo unaojengwa na mkandarasi M/s China Henan.

Amebainisha kuwa daraja hilo ambalo linaunganisha wilaya ya Karagwe na Misenyi, litakuwa ni njia ya mkato kati ya wilaya hizo mbili na hivyo kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa wilaya hizo na mwekezaji wa kiwanda cha sukari kwa ujumla.

Kwa upande wake, Mbunge wa jimbo la Ngara, Mheshimiwa Ndaisaba Ruhoro, ameipongeza Serikali kwa kutoa shilingi Bilioni 6 kwa ajili ya maandalizi ya kuanza ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami za Nyakahura – Kumubuga – Murusugamba (Km 75), Kumubuga – Rulenge – Mururama (Km 32) na Rulenge – Kabanga Nickel (Km 34) ambapo amesema kuwa kukamilika kwa barabara hizo kutarahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kutoka wilaya hiyo kuelekea wilaya jirani na hata nchi jirani za Rwanda na Burundi.

Naye, Msimamizi wa Daraja la Kitengule, Charles Rumisha, amesema kuwa mradi ulianza mwezi Oktoba, 2018 na kutarajiwa kukamilika mwezi Desemba mwaka huu ambapo amesisitiza kuwa mpaka sasa wamefika katika hatua nzuri.

Amefafanua kuwa kwenye upande wa barabara ujenzi umefika asilimia 88 na kwa upande wa daraja mkandarasi tayari keshakamilisha ujenzi wa nguzo zote nne, kilichobaki ni kuweka usawa wa juu wa barabara.

Naibu Waziri Kasekenya, yupo katika ziara ya siku Tatu mkoani Kagera ambapo atakagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na na Wizara hiyo ili kujionea maendeleo yake.

Na Mwandishi Wetu

 

PICHA: NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati akikagua ujenzi wa daraja la Kitengule lenye urefu wa meta 140, na barabara unganishi (KM18), kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Col. Sakulo akifuatiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 116 Follower
  • 172k Subscriber
  • 23.6k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

June 28, 2022
ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

June 28, 2022

Recent News

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

June 28, 2022
ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

June 28, 2022
Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In