Saturday, July 2, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

KIHONGOSI AONGOZA MAELFU YA VIJANA KUHAMASISHA USHIRIKI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI

>> ZAIDI ya Vijana 3,000 wamejitokeza katika maandamano ya Kuhamasisha Ushiriki wa Sensa 2022

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
June 23, 2022
in Habari Kitaifa
0 0
0
KIHONGOSI AONGOZA MAELFU YA VIJANA KUHAMASISHA USHIRIKI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI

KATIBU wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kenani Kihongosi, akiongoza Maelfu ya vijana kwenye matembezi kutoka katika Uwanja wa Benjamini Mkapa mpaka kwenye viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Jijini Dar es Salaam.

0
SHARES
39
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAKATI Watanzania  wakiendelea kujiandaa kwa ajili ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu, Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa  umezindua kampeni  ya kutoa elimu kwa wananchi  juu ya umuhimu wa  kujitokeza kuhesabiwa.

Katika kampeni hiyo zaidi ya vijana 3,000 kutoka Chama Cha Mapinduzi,  wamejitokeza katika maandamano yaliyoanzia Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa hadi uwanja wa Mwembe Yanga, jijini Dar es Salaam, wakiwa na mabango mbalimbali yenye ujumbe wa kuhamasisha wananchi kujitokeza kuhesabiwa huku wakiwa wamevalia fulana za rangi mbalimbali zenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan,

Akizungumza baada ya kuzindua kampeni hiyo, Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kenani Kihongosi, amesema kampeni hiyo itakuwa endelevu katika mikoa ya kanda ya ziwa, Kaskazini, kusini pamoja na Zanzibar.

Amesema umoja wa vijana una wajibu wa kuungana na serikali, kueleza wananchi juu ya umuhimu wa sensa ya watu na makazi katika kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

“Tumeona baadhi ya maeneo kuna changamoto, watu waliohesabiwa mwaka 2012 wengine hawakuhesabiwa, serikali inapotoa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo ni kwa  idadi ya watu walioandikishwa na kuhesabiwa, Siku ya leo tuna  watu watatoa elimu  na kutunga nyimbo kwa ajili ya kuhamasisha  sensa

Kampeni hii tumeizindua Dar es Salaam, tutakwenda maeneo mengine na tutaifanya kampeni hii kwa ukubwa, lengo ni  kuunga mkoa juhudi za serikali ya awamu ya sita na utekelezaji wa Ilani ili kuhakikisha serikali inatimiza wajibu wake wa kutambua idadi ya watu,’’ amesema.

KATIBU MKUU wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kenani Kihongosi, akiongoza maelfu ya Vijana Jijini Dar es Salaam, Juni 23, 2022, katika matembezi ya uhamasishaji Vijana kushiriki Sensa ya watu na Makazi Agosti 23, 2022, kuunga mkono Juhudi za Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Kenani  amebainisha kuwa katika kampeni  hiyo watajumuika na wataalamu mbalimbali kutoka serikalini, ambao wataeleza  faida watakazopata wananchi juu ya umuhimu wa  kuhesabiwa.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Kilakala, amesema,  takwimu za watu waliopo sasa ni ya mwaka 2012, hivyo wameamua kuunga juhudi za serikali kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa sensa, huku akiwataka vijana kuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi kuhesabiwa.

“Tukihesabiwa miundombnu itaboreshwa  na hata tatizo la ajira  kwa vijana litapata ukombozi, tunalalamika vijana hawana ajira lakini serikali ikitambua idadi yetu itajua namna gani itataua  tatizo hili,’’alisema.

Naye Katibu wa CCM tawi la Tandale, Bundara Malima, amesema  ni muhimu  wananchi kujitokeza kuhesabiwa kwani  takwimu za watanzan itairahisishia serikali kutenga bajeti kulingana a idadi ya watu waliopo.

Na BARAKA LOSHILAA

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 114 Follower
  • 172k Subscriber
  • 23.6k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

June 28, 2022
ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

June 28, 2022

Recent News

Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In