Wednesday, May 18, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

LAINI ZA SIMU ZISIZOSAJILIWA KWA KITAMBULISHO CHA TAIFA MWISHO JUNI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 17, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
LAINI ZA SIMU ZISIZOSAJILIWA KWA KITAMBULISHO CHA TAIFA MWISHO JUNI
0
SHARES
265
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na LILIAN JOEL, Arusha

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametangaza kwamba kuanzia Juni 30, mwaka huu, laini zote  za simu za kiganjani  ambazo hazijasajiliwa kwa kutumia kitambulisho CHa Taifa zitaondolewa sokoni.

Pia, ametoa mwezi mmoja kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanza kutoa leseni za usajili wa ‘blogs’ na luninga za mtandaoni na kupunguza gharama za usajili huo ili vijana wengi zaidi wajiajiri.

Pia, waziri huyo alitoa miezi mitatu kwa kampuni za simu nchini kurekebisha huduma za mawasiliano kwa wateja wao tofauti na sasa ambapo wateja wanapiga simu zinakoroma lakini wanakatwa fedha bila kupewa huduma.

Maagizo hayo aliyatoa jana akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu mkoani Arusha kama sehemu ya kuadhimisha siku100 za kuanzishwa kwa wizara hiyo ambayo kilele chake ni Machi 30, mwaka huu.

“Kuanzia sasa kila mwananchi ambaye hajasajili laini yake kwa kutumia kitambulisho cha Taifa (Kitambulisho cha NIDA) ahakikishe anasajili laini yake kabla ya Juni 30, mwaka huu, kwa sababu tutazima laini zote za simu ambazo hazijasajiliwa,” alisema.

Kwa mujibu wa Dk. Ndugulile, serikali imeshatoa muda wa kutosha kusajili laini kupitia namba za NIDA, lakini bado kuna wananchi ambao hawataki kuchukua vitambulisho vyao au namba kwa ajili ya kusajili laini za simu.

“Ni kosa kisheria mtu kutumia kitambulisho chake kumsajilia mtoto wake laini ya simu au ndugu na kuanzia sasa wote waliofanya hivyo wabadilishe usajili huo mara moja na kufanya uhakiki kujua kama kitambulisho kimetumika kimakosa kusajili laini kupitia mfumo unaokiuka sheria unaofanywa na mawakala wanaosajili laini za simu,” alisema.

Kuhusu usajili wa blogs na luninga za mtandaoni, Dk. Ndugulile aliiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ikamilishe mara moja mifumo yake na ianze kutoa leseni za usajili ndani ya mwezi mmoja, badala ya Juni mosi, mwaka huu.

“Sikubaliani na ajenda yenu ya kutoa leseni Juni. Ni mbali sana nendeni mkajipange kwa kuweka mifumo yenu vizuri na baada ya mwezi mmoja leseni zianze kutolewa na kupunguza gharama za usajili,” alisisitiza.

Alisema vijana wengi wana nia ya kujiajiri kupitia mfumo huo, lakini wanakwamishwa na gharama kubwa za usajili wakati lengo la serikali ni kuona wengi wao wanajiajiri ili kujikwamua kuiuchumi.

“Natambua vijana wengi wanajitahidi kujiajiri kupitia luninga za mtandaoni na ‘blogs’ halafu TCRA mnaweka gharama kubwa. Rekebisheni gharama hizo mara. Rai yangu kwao wazingatie maudhui kulingana na sheria za nchi na siyo kujisajili ili kutumia mitandao hiyo kinyume cha sheria,” alisema.

Katika hatua nyingine, Dk. Ndugulile alituma salamu kwa mafundi wa simu za kiganjani na kuwataka kuacha mara moja tabia za kubadilisha ‘IMEI’ za simu zinazoibwa na kuonya watakaobainika kucheza mchezo huo mchafu watachukuliwa hatua kali za kisheria.

“Mafundi simu acheni mchezo mchafu zingatieni sheria nchi wakati wa kutekeleza majukumu yenu ya kila siku kwa sababu serikali ina uwezo wa kuzima simu zote zinazobadilishwa ‘IMEI’ na zisitumike hapa nchini,” alisema.

Awali, Meneja wa TCRA, Kanda ya Kaskazini, Mhandisi Imelda Salum alisema ofisi yake kwa kipindi cha  Juni, mwaka jana hadi Juni, mwaka huu imepanga kukusanya zaidi ya sh. bilioni 1.27 na mpaka sasa wamekusanya zaidi ya sh. milioni 810.

Mhandisi Imelda alisema TCRA inaendelea kutoa mafunzo kwa watumiaji wa simu na kwamba mafundi simu 332 katika Kanda ya Kaskazini wameshapatiwa elimu.

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In