Wednesday, May 18, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MTUHUMIWA KESI YA MAUAJI  

UAMUZI>> Mshtakiwa hana hatia ya kukutwa na kosa aliloshtakiwa

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 10, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU MTUHUMIWA KESI YA MAUAJI  
0
SHARES
310
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na CATHERINE MBIGILI, Dodoma

MAHAKAMA Kanda ya Dodoma, imemwachia huru Helena Sambo (52), aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya mauaji wakati akifanya mapenzi na mpenzi wake, Mussa Husseni.

Mshitakiwa huyo, aliyekuwa akikabiliwa na kesi hiyo yenye namba 160/2017, alidaiwa kutenda tukio hilo Agosti 11, mwaka 2016, katika Kijiji cha Msisi, Wilaya ya Bahi, mkoani hapa.

Akisoma hukumu hiyo juzi, kwenye mahakama hiyo, Jaji S.M. Kalunde, alisema baada kupitia ushahidi, mshitakiwa hana hatia ya kukutwa na kesi ya mauaji.

Akitolea ufafanuzi wa ushahidi uliotolewa na shahidi namba mbili, Binti Mteji, ambaye ni miongoni mwa mashuhuda wa tukio hilo, Jaji Kalunde, alisema mahakama imemtilia shaka shahidi huyo baada ya kuwa na shaka katika utambuzi wa mshitakiwa pamoja na  kuonyesha wasiwasi.

“Uaminifu na ukweli kwa shahidi ni kitu kikubwa, lakini mwanzo baada ya kumuomba shahidi kutuonyesha mshitakiwa,  alishidwa kumtambua kwa wakati huo, licha ya kumtafuta kwa muda mrefu. Alidai kwamba alimsahau kwa sababu ana matatizo ya kuugua kwa muda mrefu,”alisema Jaji huyo.

Akifafanua kuhusu ushahidi kutoka upande wa utetezi, Jaji Kalunde, alisema mahakama hutambua mshitakiwa hakuwa na nia ya kuua kwa kuangalia kama alitumia silaha gani, alishambulia maeneo gani na je, aliongea nini wakati anafanya tukio hilo.

Alieleza kuwa kwa taarifa za uchunguzi, marehemu hakuonekana kuwa na jeraha lolote, zaidi ya kuonekana kuwa na michubuko na hakukuwa na ushahidi kwamba, ilisababishwa na kitu chenye ncha kali.

Akielezea tukio hilo, Jaji Kalunde, alisema marehemu na mshitakiwa, walikuwa wapenzi  tangu mwaka 2013, ambapo Agosti 11, mwaka 2016, walikubaliana wakutane mnadani.

Alisema baada ya wawili hao kukutana, walikubaliana waende kwa Binti Mteji, ambaye ni shahidi namba mbili, ambako walikuwa wakikutana siku zote kwenda kufanya mapenzi katika nyumba ya mama huyo.

“Baada ya kufika katika hiyo nyumba, walikaribishwa na kuingia katika nyumba, ambayo hukutana siku zote, wakafanya mapenzi kuanzia saa tisa alasiri hadi saa moja jioni.

“Baada ya kumaliza, marehemu alimwambia mshitakiwa tangulia kwenda msibani, ambako alikuwepo tangu mwanzo, katika kijiji jirani cha Kongogo, na kukiri kwamba alikuwa amechoka, hivyo alikuwa anapumzika kidogo,” alieleza.

Alisema baada ya kuondoka hapo, mshitakiwa hakurudi tena na kesho yake asubuhi  alifuatwa msibani na polisi jamii kisha kuambiwa mpenzi wake kafariki, akihusishwa ndiye aliyefanya mauaji hayo.

Hata hivyo, alisema taarifa hizo zinakinzana na shahidi namba mbili, ambaye alidai baada ya mshitakiwa kuondoka, mita chache  alimuona marehemu anatembea ndani na kudondoka mlangoni.

Alisema shahidi huyo alieleza baada ya kuona marehemu kadondoka, alimkimbilia mshitakiwa, akamwambia twende ukamuone mwezako amedondoka, ndipo mshitakiwa alipomjibu amuache asipige kelele, atakuwa sawa kwa sababu wanajuana.

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In