Friday, May 20, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

MWANAIDI AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUPITIA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU KWA VIKUNDI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
October 8, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
MWANAIDI AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUPITIA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU KWA VIKUNDI

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, akitoa zawadi kwa watoto wa Kituo cha malezi ya watoto Igogwe, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya alipotembelea Kituo hicho kukagua utekelezaji wake.

0
SHARES
53
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kupitia Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoa elimu ya kutosha kwa vikundi vinavyonufaika na mikopo ya kuwawezesha kiuchumi ili viweze kujikwamua.

Akikabidhi mkopo wa Tsh. 215 kwa vikundi 32 vya Halmashauri ya Wilaya Rungwe amesema vikundi hivyo vikipata elimu vitasaidia kuleta Maendeleo ya kiuchumi kwa wao wenyewe na Taifa.

“Tusisite kuwapa mikopo wananchi wanaojitolea kujiunga katika vikundi tuwape elimu ya kutosha kadiri ya mipango yao na mahitaji yao ili waweze kujiendeleza na kuhakikisha hawakwami katika mipango yao na wanasonga mbele,” amesema Mwanaidi.

Mwanaidi ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kwa kusimamia vizuri mapato na kutenga fedha za mkopo kuwawezesha wananchi na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kujiunga vikundi ili wanufaike na mikopo hiyo.

Awali akiwasilisha taarifa ya mikopo hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, amesema katika fedha hiyo, sh. milioni 60 ni kutokana na mapato ya ndani na sh. milioni 155 ni sehemu ya fedha za marejesho ya mikopo.

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, akikabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Swaya kuunga mkono juhudi za wananchi hao walioanzisha ujenzi huo.

Pia Mchau ameongeza kuwa Halmashauri kwa kushirikiana na Wadau wamekuwa wakitoa mafunzo kwa vikundi hivyo ili kuhakikisha mikopo inatumika ipasavyo na kurejesha kwa wakati ili wananchi wengine wanufaike.

Mchau amesema kwa robo ijayo ya mwaka, vikundi vitakavyopewa kipaumbele kwenye mikopo ni vile vitakavyokuwa na mweleko wa kuwa na viwanda na kutoa ajira kwa wengine ikiwemo kikundi Cha “Bamboo” kinachotarajiwa kuanza uzalishaji wa vijiti vya kusafishia meno (toothpick) kilichopo kata ya Isongolo Wilayani hapo.

“Kwenye mfuko wetu wa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu tuna jumla ya sh. milioni 1.8 zipo katika mzunguko, tulishakaa na kukubaliana kuwa ifikie hatua tuwe na vikundi vya Wanawake na vijana vyenye kuleta tija kwa kuwa kampuni, vinavyoweza kukopesheka kwenye benki lakini pia kutoa ajira na kusaidia katika uchumi wetu”

Kwa upande wao baadhi ya wanavikundi waliopata mkopo huo wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuhakikisha wanawainua kiuchumi kwani mikopo hiyo inawasaidia kuongeza mitaji ya shughuli zao hivyo kuongeza uzalishaji na kuweza kutunza familia zao.

“Kikundi chetu kina ng’ombe wa maziwa na tuna uwezo wa kutoa Lita 47 kwa siku, leo hii tumepata mkopo mkubwa sh. mil 22 tunategemea kuongeza ng’ombe zaidi na hapo baadaye tunatarajia kuwa na kiwanda cha kusindika maziwa na kuajiri vijana wengi” amesema Karimu Juma mmoja wa wanufaika.

Na Mwandishi wetu RUNGWE

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 111 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In