Saturday, May 21, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

NSSF YAZIDI KUJIIMARISHA KUFIKIA MALENGO

>>> YAJAYO ni neema tupu NSSF kuvutia wanachama wapya kutoka makundi mbalimbali ya sekta isiyo rasmi

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 6, 2022
in Habari Kitaifa
0 0
0
NSSF YAZIDI KUJIIMARISHA KUFIKIA MALENGO

MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Balozi Ali Idi Siwa, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha 49 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF.

0
SHARES
93
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Balozi Ali Idi Siwa, amesema Mfuko utaendelea kusimamia maono ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha Watanzania waliopo kwenye sekta binafsi na sekta isiyo rasmi wanasajiliwa na NSSF pamoja na waajiri kuwasilisha michango stahiki ya wafanyakazi wao.

Balozi Siwa amesema hayo jijini Mwanza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 49 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF, ambapo aliwataka watumishi wa Mfuko kuendelea kutoa huduma bora, kujielekeza katika matumizi ya TEHAMA, kushirikiana sehemu za kazi na kuifika sekta isiyo rasmi kwani imebeba sehemu kubwa ya Watanzania ambapo kupitia kundi hilo Mfuko utapata wanachama wengi wapya.

Amesema mpango wa mwaka na bajeti pendekezwa ya Mfuko kwa mwaka wa fedha 2022/23, Mfuko umeweka malengo mbalimbali ikiwemo kusajili wanachama wapya 313,478, kukusanya michango ya shilingi trilioni 1.61 pamoja na kukusanya shilingi bilioni 383.5 ambazo ni mapato yatokanayo na uwekezaji.

Amewataka wajumbe wa baraza hilo wakawe kioo kwa wenzao ili Mfuko uweze kuwa na matokeo chanya kwa wanachama na Mfuko kwa ujumla.

Naye, Ibrahim Maftah ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, alisema Mfuko umefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake ambayo ni kuandikisha wanachama, ukusanyaji wa michango, kuwekeza na kulipa mafao.

Amesema Mfuko umefanya mapitio ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari ili kuvutia wanachama wapya kutoka katika makundi mbalimbali ya sekta isiyo rasmi ikijumuisha wakulima, wavuvi, wamachinga, mama lishe, waendesha boda boda na bajaji.

“Lengo la mapitio hayo ni kuongeza wigo wa wanachama na kuwa na mafao yanayokidhi mahitaji ya makundi hayo,” alisema Maftah.

Maftah amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/23, Mfuko unategemea ongezeko la wastaafu 30,084 kutoka wastaafu 20,894 mwishoni mwa mwaka 2021/2022.

Awali, Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Ekwabi Mujungu, alisema watumishi wako tayari kuendelea kutoa huduma kwa mujibu wa taratibu zilizopo.

Kwa upande wake, Willy Kibona ambaye ni Mkuu wa Sekta ya Fedha TUICO Taifa  amesema kazi kubwa ya baraza hilo  ni kuishauri Menejimenti kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kupitia mpango wa mwaka na bajeti ya Mfuko kwa mwaka wa fedha 2022/23 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi.

“Tunashukuru kwa somo tosha kutoka kwa mgeni rasmi ambalo litaweza kusaidia kujadili kushauri na hatimaye yale yatakayokuwa tumependekeza tutakapokuja kwako kwenye Bodi yapate baraka,” alisema Kibona.

Na MWANDISHI WETU

Matukio katika picha wakati wa Kikao cha 49 cha Baraza kuu la wafanyakazi wa NSSF kilichofanyika jijini Mwanza

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Balozi Ali Idi Siwa, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha 49 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF, ambapo alisisitiza, matumizi ya TEHAMA katika utendaji kazi, uboreshaji wa Huduma bora kwa wanachama na kuendelea kuifikia sekta binafsi na sekta isiyo rasmi.
KAIMU Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Ibrahim Maftah, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.Akitoa maelezo ya awali katika kikao cha 49 cha baraza kuu la wafanyakazi kilichofanyka jijini Mwanza.
MENEJA Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele, akiratibu ufunguzi wa Kikao cha 49 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF, kilichofanyika Jijini Mwanza mwanzoni mwa wiki.
KAIMU Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utawala NSSF, Ekwabi Mujungu, akitoa salamu wakati wa Kikao 49 cha Baraza kuu la wafanyakazi wa NSSF ambapo amesisitiza kuhusu kuendelea kusimamia vizuri maslahi ya wafanyakazi na wafanyakazi kufanya kazi kwa mujibu wa miiko ya kazi ya utumishi wa Umma.
MENEJA wa NSSF Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Kahensa, akitoa neno la ukaribisho wakati wa Kikao cha 49 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF.
MKUU wa Sekta ya Fedha TUICO Taifa, Willy Kibona, akitoa neno la Shukurani kwa niaba ya wajumbe wa kikao cha 49 cha Baraza kuu la wafanyakazi wa NSSF ambapo alieleza jinsi ambavyo Mabaraza yapo kisheria kwa madhumuni ya kutoa ushauri na kusimamia haki na ustawi katika sehemu za kazi.

WAJUMBE wa Kikao cha 49 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF, wakifuatilia Kikao.

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 111 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
JAFO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA MARA KUJIKITA KATIKA ZAO LA ALIZETI

JAFO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA MARA KUJIKITA KATIKA ZAO LA ALIZETI

0
KIHONGOSI : NGORONGORO MCHAGUENI SHANGAI

KIHONGOSI : NGORONGORO MCHAGUENI SHANGAI

0
JWTZ IKO IMARA KUKABILI MATUKIO YA KIGAIDI-SERIKALI

JWTZ IKO IMARA KUKABILI MATUKIO YA KIGAIDI-SERIKALI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

May 20, 2022
SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

May 20, 2022
RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

May 20, 2022
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022

Recent News

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

May 20, 2022
SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

May 20, 2022
RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

May 20, 2022
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

May 20, 2022
SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

May 20, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In