Friday, May 20, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

SERIKALI KUKUZA SEKTA YA UVUVI KUPITIA ZANA BORA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 11, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
SERIKALI KUKUZA SEKTA YA UVUVI KUPITIA ZANA BORA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki (Mb) akifuatiwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo Abdallah Ulega (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara anayeshughulikia Uvuvi Dk. Rashid Tamatamah, wakati wakimkabidhi injini ya kupachika kwenye boti Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angeline Mabula, kwa niaba ya chama cha ushirika wa wavuvi Igombe kilichokabidhiwa boti hiyo kwa ajili ya kuendeleza sekta ya uvuvi

0
SHARES
124
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

SERIKALI imesema imedhamiria kuendeleza sekta ya uvuvi nchini kwa kuhakikisha inanunua zana bora za uvuvi kwa ajili ya wavuvi ili shughuli za uvuvi ziwe endelevu na kukuza kipato cha mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (Mb) amebainisha hayo katika ofisi za wizara hiyo zilizopo Mtumba Jijini Dodoma, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi injini sita za kupachika kwenye boti kwa ajili ya vyama sita vya ushirika wa wavuvi na kubainisha kuwa nia ya serikali ni kuona mchango wa pato la taifa katika sekta ya uvuvi unakua kwa kujenga mazingira mazuri ya kuvua rasilimali za uvuvi zilizopo nchini.

Waziri Ndaki amesema injini hizo zenye thamani ya Shilingi Milioni 58.7 zilizogaiwa kwa vyama vya Kabwe kilichopo Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa, Mwamgongo Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma, Msanda Mkuu Wilaya ya Mtwara Vijijini mkoani Mtwara, Kilwa Kivinje Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi na Igombe Wilaya ya Ilemela pamoja na Chembaya kilichopo Wilaya ya Bushosa mkoani Mwanza, ni sehemu ya fedha iliyoidhinishwa na serikali kwa ajili kuwasaidia wavuvi.

“Kwa mwaka jana na mwaka huu serikali imetenga Shilingi Milioni 200 ya kununua vifaa na zana mbalimbali za uvuvi kwa ajili ya wavuvi.” amesema Ndaki

Katika kuhakikisha wavuvi wanaendelea kupata misaada mbalimbali kutoka serikalini, amewaasa wajiunge kwenye vyama vya ushirika wa wavuvi vinavyotambulika kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na taifa na kazi zao ziwe zinafanyika kwa kufuata utaratibu unaoeleweka.

Aidha, amewataka wavuvi kuelimisha wenzao kutoendeleza uvuvi haramu kwa kuwa uvuvi huo hauna tija yoyote na husababisha madhara kwa mazalia ya samaki pamoja na kuharibu shughuli za uvuvi endelevu.

Naye Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (Mb) ametoa rai kwa wadau wa sekta ya uvuvi nchini kuwa, zoezi la kukabidhi injini hizo za kupachika kwenye boti liwe chachu ya wao kujipanga vyema kwa kuwa fursa zipo nyingi katika sekta hiyo.

Ulega amewataka wadau hao kuhakikisha vyama vyao vya ushirika wa wavuvi vinakuwa imara na vifanye kazi kwa kufuata utaratibu na kwamba serikali imejipanga kuhakikisha wavuvi wanainuka na kuchangia zaidi katika pato la taifa kupitia sekta ya uvuvi nchini.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi Dk. Rashid Tamatamah amesema wizara imekuwa ikitoa injini hizo mara kwa mara kwa vyama vya ushirika wa wavuvi ambavyo vimesajiliwa na kutambuliwa kisheria pindi inapopata fedha.

Pia, amesema Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekuwa ikitumia vigezo mbalimbali kwa vyama vya ushrikia vya wavuvi kupata injini za boti, kikiwemo cha ushiriki wao katika ulinzi wa rasilimali za uvuvi na kufafanua kuwa vyama hivyo sita vimekidhi kigezo hicho kwa kuwa wamekuwa wakishirikiana na wizara katika kupiga vita uvuvi haramu.

Akizungumza kwa niaba ya wabunge kutoka kwenye majimbo yaliyotoa vyama sita vya ushirika wa wavuvi, vilivyokabidhiwa injini za kupachika kwenye boti, Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angeline Mabula ametaka kuwepo kwa elimu zaidi kwa kulinda maeneo yanye mazalia ya samaki na kuwepo uvuaji wa samaki kwa vipindi.

Dkt. Mabula amesema kwa sasa wavuvi wamekuwa wameelewa juu ya uvuvi haramu hivyo ni vyema kulinda na kusimamia maeneo ya mazalia ya samaki kutovamiwa na wavuvi na kuharibu uendelevu wa uvuvi katika maeneo yao.

Na Mwandishi Wetu

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 111 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In