Monday, May 16, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

SERIKALI YA AHIDI KUKAMILISHA MKATABA WA MAKUBALIANO KATI YA KOSGEB YA UTURUKI NA SIDO YA TANZANIA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
October 25, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
SERIKALI YA AHIDI KUKAMILISHA MKATABA WA MAKUBALIANO KATI YA KOSGEB YA UTURUKI NA SIDO YA TANZANIA
0
SHARES
33
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo (Mb) amesema Serikali itakamilisha  na  kutekeleza Mkataba wa Makubaliano kati ya Shirika la Maendeleo ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo na za kati (KOSGEB) la Uturuki na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) la Tanzania  kwa lengo la kuipatia SIDO mafunzo na uzoefu katika kuboresha utoaji msaada na uwezeshaji wa Viwanda na Biashara ndogo na za kati (SMEs).

Prof. Mkumbo  amsema hayo alipotembelea KOSGEB akiwa ameambatana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Omar Shaaban na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira, David Makiposa, Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Hassani Mwamweta  na Maafisa wa Wizara ili kujifunza na kupata uzoefu wa jinsi ya kuboresha huduma zinazotolewa na SIDO ya Tanzania kwa SMEs.

Prof. Mkumbo na  ujumbe wake walipata fursa ya kutembelea baadhi ya viwanda vidogo vinavyowezeshwa na KOSGEB na  walifurahishwa na usimamizi na maendeleo ya viwanda hivyo  katika utengenezaji ya bidhaa kwa kutumia ubunifu na teknolojia zinazokidhi mahitaji ya soko kimataifa.

Naye  Mkurugenzi Mkuu wa KOSGEB Bw.  Hassan Basri Kurt alimueleza Waziri Mkumbo na ujumbe wake kuwa Shirika hilo liko tayari  kukamilisha Mkataba wa Makubaliano na SIDO ya Tanzania bara  na kuanzisha Mkataba na Wakala wa Viwanda Vidogo vidogo, Vidogo na vya Kati (SMIDA) ya Zanzibar.

KOSGEB ina mikataba ya makubaliano 93 katika taasisi 88 katika nchi mbalimbali 69 pamoja na mashirika ya kimataifa matano (5), hivyo iko tayari kukamikisha makubaliano na SIDO ya Tanzania ambayo yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji.

Akimueleza Waziri Mkumbo na ujumbe wake Kurt alisema KOSGEB imeanzishwa kwa ajili ya kutoa msaada muhimu  na kuziwezesha kwa SMEs nchini humo  na imejikita katika utafiti na maendeleo, uzalishaji wa teknolojia, bidhaa za nyumbani kwa ajiki ya mauzo ya nje,  kuendeleza na kukuza ujasiliamali kimataifa

Kurt aliongeza kuwa SMEs nchini Uturuki ni  asilimja 99 ya makampuni yote na huzalisha karibu asilimia  65 ya jumla ya uongezaji  thamani katika sekta ya biashara na hivyo kufanya asilimia 73 ya jumla ya ajira katika biashara  nchini humo.

Akieleza jinsi wanavyopata mapato ya kusimamia KOSGEB na kuziwezesha SMEs, alisema Shirika  linapata fedha kutoka katika Bajeti ya Serikali, ada kutoka makampuni yaliyowezeshwa na Shirika hilo, misaada au mikopo kutoka kwa wabia wa maendeleo.

Waziri Mkumbo na ujumbe wake wameshiriki Kongamano  la tatu (3) la Uchumi na Biashara kati ya Uturuki na.Afrika lililoratibiwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki ikishirikiana na  Wizara, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, Kampuni ya Go Extra Mile  Safaris na Benki ya CRDB iliyodhamini wafanyabiashara 100 kuhudhuria kongamano hilo kwa lengo la kujifunza, kubadilishana uzoefu, kutafuta masoko ya bidhaa za Tanzania na kuimarisha ushirikiana kati ya wafanyabiashara wa Tanzaniana Uturuki.

Na MWANDISHI WETU

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
SHAKA AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHAPAKAZI KUINUA UCHUMI

SHAKA AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHAPAKAZI KUINUA UCHUMI

0
TTCL YAJIVUNIA UTOAJI HUDUMA WA MAWASILIANO KIMATAIFA

TTCL YAJIVUNIA UTOAJI HUDUMA WA MAWASILIANO KIMATAIFA

0
KIKONGWE KUHITIMU PHD

KIKONGWE KUHITIMU PHD

0
MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA CPC

MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA CPC

0
UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022
SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

May 11, 2022
MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

May 11, 2022

Recent News

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022
SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

May 11, 2022
MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

May 11, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In