Monday, May 16, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

SERIKALI YA CCM HAITOFUTA ELIMU BILA MALIPO – MNDEME

Namba 4>> Shina ambalo Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, alifanya kikao

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 17, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
SERIKALI YA CCM HAITOFUTA ELIMU BILA MALIPO – MNDEME

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Christina Mndeme

0
SHARES
52
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Christina Mndeme, amewahakikishia wananchi kuwa, Serikali ya CCM haitofuta sera ya elimu bila malipo.

Kauli hiyo, aliitoa alipozungumza katika kikao cha CCM Shina Namba 4, Tawi la Iseni, Kata ya Kakola, Wilaya ya Nyang’wale, Mkoani Geita.

Alisema wananchi wanapaswa kupuuza upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kwamba, serikali itaondoa elimu bure.

“Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kupeleka mbele maendeleo ya nchi yetu, tuendelee kumuunga mkono. “Puuzeni maneno ya watu kwamba, elimu bure itafutwa. Elimu bure haitofutwa,” aliwahakikishia wananchi hao.

Alibainisha kuwa, miradi yote ya mkakati, serikali ya Rais Samia inaendelea kuitekeleza kwa lengo la kuwaondolea kero wananchi.

“Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere linaendelea kujengwa na litakapokamilika litatatua changamoto ya ukosefu wa umeme, daraja la Kigongo-Busisi linaendelea kujengwa, ujenzi wa meli katika Ziwa Victoria bado unaendelea na barabara zinajengwa,” alisema.

Akizungumzia usambazaji umeme katika vijiji vya wilaya hiyo, aliagiza mchakato wa kumpata mkandarasi mpya ufanyike haraka kwa kuwa wananchi wanahitaji nishati hiyo.

“Kama mkandarasi wa kwanza mmeona hafai hakikisheni mnamtafuta mwingine haraka na mumsimamie vizuri, hakuna sababu ya kucheka na mkandarasi ambaye hatimizi wajibu wake,” alisisitiza Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara.

Kuhusu changamoto ya upatikanaji maji, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, alimwagiza Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Nyang’wale, Mhandisi Moses Mwampungu, kuhakikisha ndani ya wiki mbili mabomba yaletwe ili kukamilisha usambazaji maji katika Kata ya Ikola.

Aidha, alimuagiza kujenga vituo sita vya kuchotea maji, badala ya vituo vitatu vilivyokadiriwa ili kuwawezesha wananchi kutotembea umbali mrefu.

Mndeme alitoa agizo hilo baada ya kero hiyo kuibuliwa katika kikao hicho cha shina kwamba bado wana changamoto ya uhaba wa maji ambapo wanalazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo.

“Haiwezekani mabomba hadi Desemba ndio yafike hapa. Chama kinakuagiza ndani ya wiki mbili mabomba yawe yameshafika na wananchi waanze kusambaziwa huduma ya maji,” alisisitiza.

Kwa upande wake, Mhandisi Mwampungu alieleza kuwa kampuni ya Simba Plastic ndiyo iliyoshinda zabuni ya kuleta mabomba hayo ambayo hadi Desemba, mwaka huu, yatakuwa yameshawasiri.

Kuhusu mashina, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tanzania Bara, alisema CCM imedhamiria kuimarisha uhai wa mashina.

Aliwataka viongozi wa mashina nchini kusimamia hitaji la Katiba ya CCM inayotaka kuitishwa vikao vya ngazi hiyo.

Alisema kwa mujibu wa Katiba ya CCM inasema kikao cha uongozi wa shina kinapaswa kufanyika kwa mwezi mara moja na mkutano wa wanachama wa shina unapaswa kufanyika mara moja kila baada ya miezi mitatu.

NA MUSSA YUSUPH, NYANG’WALE

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
SHAKA AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHAPAKAZI KUINUA UCHUMI

SHAKA AWAHIMIZA WATANZANIA KUCHAPAKAZI KUINUA UCHUMI

0
TTCL YAJIVUNIA UTOAJI HUDUMA WA MAWASILIANO KIMATAIFA

TTCL YAJIVUNIA UTOAJI HUDUMA WA MAWASILIANO KIMATAIFA

0
KIKONGWE KUHITIMU PHD

KIKONGWE KUHITIMU PHD

0
MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA CPC

MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA CPC

0
UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022
SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

May 11, 2022
MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

May 11, 2022

Recent News

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022
SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

May 11, 2022
MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

MABEHEWA MAPYA 22 KUNUNULIWA

May 11, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

UWT TEMEKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

May 11, 2022
DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

DK. MWINYI ASEMA HAKI KICHOCHEO CHA AMANI NCHNI

May 11, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In