Friday, May 20, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo RIWAYA

SIMULIZI YA SIKU YANGU YA KWANZA KABURINI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
October 11, 2021
in RIWAYA
0 0
0
SIMULIZI YA SIKU YANGU YA KWANZA KABURINI

SEHEMU YA 4

0
SHARES
173
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

UTANGULIZI

KATIKA kuongeza Burudani kwenu wasomaji wetu, tumeamua kuwaletea Simulizi za kusisimua ambazo zitakuijia kila Jumatatu hadi Ijumaa, kwa kuanzia anza kufuatilia SIMULIZI YA SIKU YANGU YA KWANZA KABURINI

MTUNZI: CHRISTOPHER LISSA

ISBN ….978-9987-9886-1-7

(Toa maoni ya simulizi hii 0654 58 67 88, 0629 643 419)

 

ULIKUWA ni usiku wa manane. Giza totoro lilifunika  sura ya Dunia. Sauti za wadudu, ndege na wanyama  hususan mbwa, paka na komba zilikuwa zikisikika mara kwa mara.

Hii ilikuwa ni kawaida hasa kwa eneo hili la Kijiji cha  Kandete, Kata ya Kajunjumele, Wilayani Kyela, mkoani Mbeya.

Kijiji ambacho kiko kilomita  10 tu kutoka Halmashauri ya Mji wa Kyela, unaosifika kwa kilimo cha mpunga, korosho  na kokoa pamoja na shughuli za uvuvi hasa katika Ziwa Nyasa, mito na mabwawa.

Nililijinyanyua kiuvivu  uvivu  na kukaa kitako katika ukingo wa kitanda.

Nikafikicha macho  ili kuweka mboni zangu sawa na kupata upeo bora zaidi  kutokana na kiza kilicho kuwa kimetanda chumbani.

Mke wangu  Petty alikuwa bado usingizini. Sikutaka kumwamsha. Nikamuacha aendelee  kulala.

Nikajinyanyua na kupapasa  kwa mkono wangu wa kulia katika kimeza kidogo kilichokuwa chumbani humo.

Nikapata kibiriti, ambapo  nikachomoa njiti moja na kuiwasha, kisha nikakoleza utambi wa kibatari  kilicho kuwa katika kimeza  hicho.Mwanga ukatanda chumbani humo.

Nikatazama saa kupitia kisimu changu cha mkononi,   ilikuwa ikionyesha ni saa 10:45 usiku.

Naam! Ulikuwa ni muda muafaka  kuamka,  tayari  kwa kwenda shambani kwaajili ya kulima.

Ulikuwa ni msimu wa kilimo  kwaajili ya  kupanda mpunga, hivyo kwa ukanda huu wa Wilaya ya Kyela,  ni kawaida watu kuamka kwenda kulima kuanzia saa 9 usiku.

“Sijachelewa sana…,” nilijisemea huku nikivaa mavazi yangu rasmi kwaajili ya shughuli za kilimo.

Pia nikachukua sime  na kulifutika katika mshipi wa suluali yangu  kiunoni kwaajili ya usalama.

Baada ya kujiweka tayari sasa nikamuamsha mke wangu ili kumuaga.

“Mama Neema… Mama Neema…” nilimwita huku nikimpapasa.

“Mhhhh!,” aliitika kivivu kutoka katika lindi la usingizini. Akafumbua macho taratibu  na kunitazama kabla haja kaa kitako kitandani.

“Mimi naelekea shambani… njoo ufunge mlango,” nilimweleza.

“Haya mume wangu… kila lakheri,”aliniambia huku akishuka kitandani na kuanza kunifuata hadi sebuleni ili afunge mlango.

Nilipotoka nje tu mke wangu akatumia fursa hiyo  kuwawekea maji watoto kujisaidia.

Mimi nikalekea katika zizi la ng’ombe kwaajili ya kuwandaa  maksai ninao watumia kulima.

Walikuwa ni ng’ombe madume wawili ambao kiukweli  nilikuwa  nawapenda sana kwa sababu  walikuwa wakinisaidia mno katika shughuli za kilimo kuanzia kulima mashamba  na kusomba mazao wakati wa mavuno.

Baada ya kuwandaa safari ya kuelekea shambani ikaanza. Shamba lilikuwa umbali wa kilomita tatu hivi kutoka  nyumbani kwangu.

Lilikuwa katikati ya mbuga kubwa  isiyo na miti wala  vichaka, zaidi ya kimsitu kidogo  kilicho kuwa kinafahamika kama Kwa Mputa.

Shamba langu lilikuwa  hatua chache tu  kutoka katika kimsitu hicho cha mikorosho  ambacho wakati wa mchana  tulitumia kujipumzisha  kutokana na kuwa na kivuri safi cha mikorosho.

Mwendo kama wa saa moja hivi, hatimaye nilifika shambani na kazi ya kulima ikaanza.

“Kwenda!! Kwenda!..,” nilimaka huku nikiwa swaga  maksai wangu  kwa fimbo  ndefu.

Mkono mmoja  nilitumia  kushika mpini wa jembe aina ya plau lililokuwa likikokotwa na maksai hao.

Maksai hawa walikwisha pewa mafunzo maalumu ya kulima hivyo hawakuwa na shida sana. Tukaendelea kulima.

Haiukupita nususaa, mara nikaanza kuhisi  kiupepo kilichoambatana na kibaridi kikavu.

Kwa haraka sikutilia maanani sana kiupepeo hicho. Nilijua ni kawaida tu kwa sababu eneo hili halikuwa na miti mingi.

Lakini kwa dakika kadhaa  upepo ulizidi kuvuma. Awamu hii upepo huo uliongeza kasi na ubaridi.

Nilibaini kuwa ulikuwa ukitokea upande wa mikorosho ya Mputa ambayo ilikuwa mita chache tu  kutoka shambani kwangu.

Mara nikahisi mwili wote ukinisisimka huku nywele zikinisimama. Nilipata mshtuko  ghafla. Mapigo ya moyo  yakaanza kwenda mbio. Nguvu ziliniishia ghafla.

Ng’ombe nao wakasimama ghafla. Hapo ndipo nikahisi  jambo  la kuoghofya sana linaenda kutokea.

Ni kawaida  ng’ombe kusimama pindi wanapokumbana na matukio ya kutisha. Huwa hawatembei kabisa hata uwaswage vipi.

Kutokana na hali hiyo  ilinilazimu hata mimi  pia kusimama ili  kusikilizia nini kitatokea.

Naam! Nilipogeuka  na kutaza upande wa kile kimsitu cha mikorosho ya Mputa,  niliona moto mkubwa ukiwaka juu kabisa ya miti hiyo. Ulikuwa ni moto mkubwa sana.

Hata hivyo nilibaini kwamba moto huo licha ya kuwa mkubwa ulikuwa  hauteketezi miti. Ulikuwa ni moto wa miujiza.

Ama kweli dunia hii inamambo na omba  uyasikie tu kwa jirani  lakini yasikutokee.

… USIKOSE SEHEMU YA PILI ITAENDELEA KESHO

 

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 111 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In