Saturday, May 21, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

TANZANIA KUSHIRIKI ONYESHO LA UTALII HISPANIA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 24, 2022
in Habari Kitaifa
0 0
0
TANZANIA KUSHIRIKI ONYESHO LA UTALII HISPANIA

KAIMU Meneja wa Utalii wa Mikutano na Matukio, Lily Fungamtama (kulia), akizungumza na wadau kutoka mataifa mbalimbali katika Banda la Tanzania.

0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

KATIKA kuendeleza juhudi za kuvuna soko la watalii kimataifa, Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imeratibu ushiriki wa Tanzania katika Onesho la Utalii lijulikanalo kama Feria Internationale de Madrid (FITUR) nchini Hispania.

FITUR ni moja ya maonesho makubwa ya utalii linaloandaliwa na kampuni ya IFEMA ya Hispania, linatarajiwa kufanyika Machi 19 hadi 23 mwaka huu.

Akizungumzia mkakati wa TTB kuhusu soko la utalii la Hispania, Kaimu Meneja wa Utalii wa Mikutano na Matukio, Lily Fungamtama, amesema Tanzania itaendelea kushiriki na kutumia fursa ya onesho hilo kukutana na wafanyabiashara kutoka katika masoko makubwa ya utalii na kudumisha ushirikiano na nchi nyingine zitakazoshiriki.

Ameeleza mwitikio wa mawakala na wageni wengi waliotembelea banda la Tanzania umewapa matumaini ya kuongeza idadi ya watalii kutoka Hispania.

“Wengi wao wameonyesha shauku ya kuja Tanzania hasa baada ya kupata maelezo kutoka kwa washiriki Wataalam kutoka Taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii waliohudhuria katika onesho la FITUR 2022,” amesema.

Kwa upande wake, Ofisa aliyewakilisha Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA), Jerome Ndanzi, alisema Mawakala wa Utalii waliotembelea Banda la Tanzania wameridhishwa na maelezo ya vivutio vya utalii katika Hifadhi za Taifa na kujionea video zilizokuwa zikionyeshwa.

Ameongeza kwamba video hizo zimekuwa kichecheo kikubwa kwao kushawishika kuweka nia ya hivi karibuni kuzitembelea hifadhi za taifa na maeneo ya kihistoria yanayosimamiwa na TANAPA.

Naye, Mwakilishi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Mhifadhi Mteleka, alisema onesho hilo limekuwa na manufaa kwao baada ya kufanya mkutano na Juan Carlos ambaye ni mtaalamu wa kuandaa miradi inayofadhiliwa na Serikali ya Hispania.

Amebainisha kwamba mtaalamu huyo ameonyesha dhamira ya kushirikiana na TFS kuandaa andiko la kuimarisha utangazaji wa utalii Ikolojia katika nchi ya Hispania.

Mwakilishi wa kutoka Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori (TAWA) Tumsime Felician, alisema wageni wamekuwa na shauku ya kupata maelezo kuhusu utalii wa uwindaji.

Ametaja miongoni mwa mawakala hao ni raia wa Mexico aliyeonyesha nia ya kuleta wageni wa uwindaji wa kitalii kutoka nchini humo kuitembelea Tanzania.

Aidha, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Moinga Lesasi, alisema baada ya kupata maelezo ya mazao ya utalii yaliyopo Ngorongoro, wageni wengi wameonyesha shauku ya kuitembelea Tanzania.

Ameeleza moja ya jambo wanalotamani zaidi kushuhudia ni namna binadamu anavyoweza kuishi sehemu moja na wanyama wakali wanaopatikana katika Bonde la Ngorongoro, Historia ya Oldvai Gorge na mengine mengi.

Onesho la FITUR mwaka huu ni la kwanza kufanyika tangu kutokea kwa mlipuko wa janga la UVIKO 19 ambao umeathari sekta ya utalii na ukarimu, kwamba mara ya mwisho lilifayika Januari mwaka 2019.

Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii za mwaka juzi, mwaka 2020, Tanzania ilipokea watalii 18,838 mwaka 2019 na 4,162 mwaka 2020 kutoka Hispania.

NA JUMA ISSIHAKA

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 111 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
JAFO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA MARA KUJIKITA KATIKA ZAO LA ALIZETI

JAFO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA MARA KUJIKITA KATIKA ZAO LA ALIZETI

0
KIHONGOSI : NGORONGORO MCHAGUENI SHANGAI

KIHONGOSI : NGORONGORO MCHAGUENI SHANGAI

0
JWTZ IKO IMARA KUKABILI MATUKIO YA KIGAIDI-SERIKALI

JWTZ IKO IMARA KUKABILI MATUKIO YA KIGAIDI-SERIKALI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

May 20, 2022
SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

May 20, 2022
RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

May 20, 2022
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022

Recent News

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

May 20, 2022
SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

May 20, 2022
RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

RAIS SAMIA: MAWAZIRI CHAPENI KAZI, MSISIKILIZE MANENO

May 20, 2022
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

MIPAKA YA TANZANIA IPO SHWARI

May 20, 2022
SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

SERIKALI YATOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU

May 20, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In