Wednesday, May 18, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

TANZANIA YATIA SAINI MKOPO WA TRIL. 2.697 KUTEKELEZA MIRADI MITANO YA MAENDELEO

Upo wa ujenzi barabara jumuishi inayohusisha fursa za huduma za jamii-RISE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
August 19, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
TANZANIA YATIA SAINI MKOPO WA TRIL. 2.697 KUTEKELEZA MIRADI MITANO YA MAENDELEO

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Eng. Rogatus H. Mativila na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za mijini na Vijijini (TARURA) Eng. Victor Seff wakitia saini mikataba ya ujenzi wa Barabara nchini mara baada ya kusainiwa kwa mikataba ya mikopo ya masharti nafuu kutoka Benki ya Dunia kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa (IDA) . Hafla hiyo imefanyika Leo Alhamis Agosti 19, 2021, Jijini Dar es Salaam.

0
SHARES
247
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

07SERIKALI imetia saini makubaliano ya mkopo wa fedha kiasi cha sh. trilioni 2.697 kutoka Benki ya Dunia kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa (IDA), ili kutekelezaji miradi mitano ya bara na Zanzibar, ukiwemo wa ujenzi wa barabara na ujumuishaji wa fursa za uchumi.

Akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam leo Agosti 19, 2021 Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha za mkopo huo zitafanikisha utekelezaji wa miradi mitano muhimu kwa huduma za jamii.

Ameitaja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa barabara na ujumuishaji wa fursa za uchumi (RISE) wenye thamani ya sh. bilioni 693.2 na mradi wa kuboresha elimu ya juu kwa mabadiliko ya uchumi (HEET) thamani yake ni sh. bilioni 982.1.

Mingine ni mradi wa Tanzania ya kidigitali (DTP), wenye thamani ya sh. bilioni 346.6, mradi wa mabadiliko ya sekta ya nishati Zanzibar (ZESTA) thamani yake ni sh. bilioni 328.1 na mradi wa kukuza ukuaji jumuishi Zanzibar: Maendeleo Jumuishi (BIG-Z) wenye thamani ya sh. bilioni 346.6.

Dk. Nchemba ameeleza kuwa miradi hiyo itawezesha utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa Tanzania ambao unataka kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa malengo ya wananchi.

Amesema utekelezaji huo ni kupitia uboreshaji wa miundombinu, upatikanaji wa nishati wa kuaminika, kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji na kuimarisha mifumo ya elimu za mafunzo.

Amebainisha kuwa mkopo huo ni ishara kwamba serikali ya Tanzania inaaminiwa, hivyo watasimamia fedha hizo kuhakikisha zinatekelezwa katika shughuli lengwa.

Ameeleza kuwa mikataba hiyo iliyosainiwa inaongeza thamani ya miradi iliyofadhiliwa na Benki ya Dunia kufikia Dola za Marekani 5,502.4 na kwamba hivi sasa serikali inakamilisha awamu nyingine ya miradi ya kipaumbele.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk. Leonard Chamuriho (kulia) na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, wakiwa katika hafla ya utiaji saini mkopo wa sh. trilioni 2.697 iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo

WAZIRI UJENZI

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk. Leonard Chamuriho, amesema RISE ni miradi ya barabara jumuishi inayohusisha fursa za huduma za jamii.

“Tunafurahi kuona Benki ya Dunia inatukopesha fedha nyingi kwa mradi huu utakaotekelezwa kwa kipindi cha mwaka 2021 hadi 2026,” ameeleza Dk. Chamuriho.

Amefafanua mradi wa RISE utaboresha barabara za vijijini na kutoa fursa za ajira kwa watu katika maeneo yanayopitiwa na miradi yaani Wilaya sita katika Mikoa minne ambayo ni Geita, Tanga, Lindi na Iringa.

“Hii inamaanisha kuwa karibu asilimia 58 ya watu ndani ya kilometa tano katika maeneo ya vijiji vilivyochaguliwa wanaweza kutumia barabara nzuri,” amesema.

Ameongeza mradi huo utajenga uwezo katika usimamizi endelevu wa barabara zinazoboreshwa, ukijumuisha ushirikishwaji wa jamii na utoaji wa fursa za ajira 35,000.

“Tunashukuru mradi huu utashirikisha wananchi wakiwemo wanawake ambapo nilitembelewa na kikundi chao hivi karibuni, sasa hii ni fursa kwao kwakuwa wametengewa asilimia 20 kuonyesha uwezo wao,” amesema.

Amesema kwa upande wa barabara za Mikoa ambazo ndiyo hasa zinahusika na Wizara yake, zitakuwa kilometa 135 na vipaumbele vilivyotumika kuchagua miradi hiyo vimetoka katika Mpango wa Maendeleo ya Kilimo awamu ya pili.

“Tumechagua miradi katika Mikoa inayotoa mazao mengi na Wilaya ambazo zina uzalishaji mkubwa katika shughuli za kilimo, hivyo tunamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutuletea mradi huu nasi tunamuahidi tutasimamia kwa ukamilifu ili thamani ya fedha ionekane,” amesisitiza.

Mkataba wa RISE ulitiwa saini na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Rogatus Hussein, Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini, Mara Marwick.

Mradi huo ni muendelezo wa utekelezaji wa miradi ya barabara ambayo TANROADS imefanya hadi sasa katika Mikoa mbalimbali nchini.

NA JUMA ISSIHAKA

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022
Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In