Saturday, August 13, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    MEMBE ATOA YA MOYONI AKIREJEA CCM

    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo MICHEZO-MAKALA

WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
June 28, 2022
in MICHEZO-MAKALA
0 0
0
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022
0
SHARES
89
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAKATI michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikielekea ukingoni, vita ya ufungaji bora  msimu huu imezidi  kushika hatamu, washambuliaji wanapambana bila kuchoka.

Katika vita hiyo,  straika George Mpole anayekipiga Geita Gold na Fiston Mayele wa Yanga wamekuwa wkichuana kwa karibu, wachezaji hao wameonyesha vita ambayo kila mmoja anataka kushinda.

Hadi sasa, michuano hiyo imechezwa kwa raundi 29, imebaki raundi moja kabla ya ligi kumalizika.

Ukiwa umsalia mchezo mmoja kwa timu zote zinazoshiriki ligi hiyo, vita kubwa ya ufungaji bora imebaki kwa Mayele na  Mpole  ambao  wakipania kiatu cha ufungaji bora msimu huu.

GEORGE MPOLE   (MABAO 16)

Straika huyo mzawa anayekipiga Geita Gold, kabla ya mchezo wa wikiendi hii alikuwa amefunga mabao 16 sawa na Mayele.

Mpole mwenye uchu wa mabao, amezifunga  Mbeya City, Kagera Sugar, Ruvu Shooting, Polisi Tanzania, Coastal Union, Namungo, KMC, Azam FC, Mbeya Kwanza, Simba, Dodoma Jiji na Biashara United.

Katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Mpole alipachika mabao matatu,  mabao mawili dhidi ya Mbeya Kwanza na Mbeya City wakati amefunga bao moja dhidi ya timu za Ruvu Shooting, Polisi, Coastal Union, Namungo, KMC, Azam FC, Simba, Dodoma Jiji na Biashara United.

Pamoja na kufunga, mshambuliaji huyo ametoa pasi tatu zilizozaa mabao.

FISTON MAYELE (MABAO 16)

Moja kati ya sababu ya Yanga kutwaa ubingwa msimu huu ni ubora wa straika Fiston Mayele.

Mabao ya mchezaji huyo yamekuwa na mchango mkubwa wa kikosi cha kocha Nasreddine Nabi kutwaa ubingwa wa ligi na kufuta mwiko wa kutotwaa kwa misimu minne mfululizo.

Mayele amefunga mabao 16 kati ya mabao 47 iliyofunga  Yanga katika michezo 28 ya Ligi Kuu Tanzania Bara kabla ya mchezo wa juzi.

Mshambuliaji huyo amezifunga   KMC, Azam FC, Mbeya Kwanza, Biashara United, Dodoma Jiji, Coastal Union, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar, Geita Gold na Namungo.

Mabao matatu amefunga katika mchezo dhidi ya Coastal Union, mawili dhidi ya Azam FC, Mbeya Kwanza, Kagera na Biashara United huku akifunga bao moja kikosi chake kilipopambana na  KMC, Azam FC, Dodoma Jiji, Mtibwa Sugar, Geita Gold na Namungo.

Staa huyo ametoa pasi nne za kumalizia mabao yaliyopachikwa na wenzake.

 RELIANTS LUSAJO (Mabao 10)

Ni muda mrefu tangu mchezaji Reliants Lusajo ashindwe kuuendeleza moto wake wa mabao katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Straika huyo wa Namungo aliyeanza msimu kwa kasi ya kupachika mabao, hadi sasa amesalia na mabao 10 pekee.

Lusajo amefunga mabao mawili dhidi ya Coastal Union na Mtibwa Sugar wakati akifunga bao moja dhidi ya timu za Geita Gold, Kagera Sugar, Mbeya Kwanza, Biashara, Ruvu Shooting na Mbeya City.

MATHEO ANTHONY (Mabao 9)

Miongoni mwa washambuliaji waliokuwa na msimu mzuri msimu huu ni Matheo Anthony, aliyepachika  mabao tisa.

Mchezaji huyo wa KMC amekuwa na kiwango bora ambacho kimekuwa sababu ya kuongeza ubora wa timu yake msimu huu.

RODGERS KOLA (9)

Ingawa Azam FC haikuwa na msimu mzuri, lakini Mzambia Rodgers Kola amekuwa na ubora mkubwa na kujaribu kukisaidia kikosi chake.

Mzambia huyo mwenye umri wa miaka 32, anayecheza nafasi ya ushambuliaji wa kati na winga, amepachika mabao tisa katika kikosi hicho.

Kola alitua Azam FC mwaka jana akitokea  Zanaco FC ya nchini Zambia, aliyoanza kuitumikia kuanzia mwaka 2019.

KIBU DENNIS  (8)

Pengine inaweza kukushangaza, lakini Kibu Dennis ni moja kati ya washambuliaji waliopo katika orodha ya kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba mwaka jana akitokea Mbeya City, amekuwa na mfululizo wa kiwango bora katika michezo ya mwisho ya kumalizia  ligi.

Wakati Simba ikiwa katika nafasi ya pili, kabla ya mchezo wa jana, Kibu alifunga mabao manane na kuwa mmoja kati ya washambuliaji waliofunga mabao mengi msimu huu.

Na ABDUL DUNIA

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 116 Follower
  • 172k Subscriber
  • 23.6k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0
MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

June 28, 2022
ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

June 28, 2022

Recent News

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022
WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

WAJUE WATIKISA NYAVU BORA 2021/2022

June 28, 2022
ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

ATOZWA FAINI 100,000 KISA KUIBA PUNDA WA BABA YAKE

June 28, 2022
Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

MIAKA 30 YA VYAMA VINGI: CHANGAMOTO NA MUSTAKABALI KUSONGA MBELE

July 1, 2022
WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

WAWILI WADAKWA DAR TUHUMA ZA BIASHARA YA NGONO MTANDAONI

June 28, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In