Wednesday, May 18, 2022
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English EN Kiswahili SW
UHURU MEDIA GROUP
Tangaza Nasi
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • UMG
    • Home
    • About Us
    • Services
    • Shop
    • Contact Us
  • MAGAZETI
    • Uhuru wanawake
    • Mzalendo
    • Uhuru vijijini
    • Burudani
    • Uhuru kijani
  • UHURU FM
    • Ratiba
  • UHURU DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • Mwanzo
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHAKA ANG’AKA FAINI MIMBA ZA WANAFUNZI

    NI HISTORIA NYINGINE CCM

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM YATEUA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAPOKEA TUZO CHAONGOZA KUWA NA WAFUASI WENGI MTANDAONI

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    CHONGOLO APIGILIA MSUMARI FEDHA ZA IMF

    SHAKA ATAJA SIRI CCM KUKUBALIKA

    CCM ITAENDELEA KUWA CHAMA BORA, IMARA AFRIKA- SHAKA

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    MBISE ATOA VITI MIA MOJA MONDULI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
  • Michezo
    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    SIMBA, KAGERA NI KISASI, HESABU LEO

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    HAPATOSHI BURKINA FASO, SENEGAL  AFCON

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    MAYELE AIPA JEURI YANGA

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    NABI KUTUMIA MASTAA WAPYA MAPINDUZI CUP

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    SIMBA KIMATAIFA HATOKI MTU

    PABLO AIPANIA KMC 

    PABLO AIPANIA KMC 

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
No Result
View All Result
UHURU MEDIA GROUP
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE AIPA ‘TANO’ MAGEREZA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
August 18, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
WAZIRI SIMBACHAWENE AIPA ‘TANO’ MAGEREZA

WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi George Simbachawene (mwenye suti ya bluu) akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha Biashara cha Jeshi la Magereza, eneo la Isanga jijini Dodoma.

0
SHARES
93
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAZIRI wa Mambo ya ndani ya nchi Mh.George Simbachawene ameweka jiwe la msingi katika mradi mkubwa wa kituo cha biashara katika eneo la Isanga Jijini Dodoma, (Isanga Prison Business Centre).

Akizungumza katika hafla hiyo ya uwekaji jiwe la Msingi  Waziri Simbachawene amelipongeza Jeshi la Magereza kwa uwekezaji huo mkubwa, na amewataka watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Jiji la Dodoma kuja kuangalia fursa za uwekezaji katika eneo hilo.

“Nafahamu ipo miradi  mbalimbali ya uwekezaji katika maeneo ya  Jeshi la Magereza, niseme tu siku ya kwanza nilipotembelea  Gereza Mbigili nilisema kauli yangu  fikra mpya  mtazamo mpya kufanya kazi kwa bidii  na kujitegemea neno hilo lilikuja tu  nilivyoona hatua za awali tu mlivyonunua kijiko linafanya  kazi kubwa, nikajua hapa shughuli  imeanza” amesema Simbachawene.

Simbachawene amesema, mabadiliko yeyote yanaweza kuletwa na ‘leadership’ (uongozi) hivyo lazima ujitoe, na hao viongozi wanaotaka mabadiliko  wakati fulani watalaumiwa sana, lakini kikubwa ni kuangalia matokeo yakoje.

“Ishini katika viapo  vyenu wewe umeajiriwa kama askari songa mbele, mwanajeshi akipewa amri na kiongozi wake anatekeleza,nyinyi askari watiifu, historia itatuandika kwamba tulifanya nini, kwaiyo Kama viongozi msiogope lawama”

Pia Simbachawene amesema kuwa, ameridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Magereza, tena kwa kiasi kidogo Cha fedha, huku akishindwa kuficha hisia zake na kusema kuwa eneo hilo la biashara la Magereza lina mvuto mkubwa na wa aina yake, ambalo linaweza kuwa bora zaidi Tanzania.

Kwa upande wake Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee, amesema, wameshaagiza matrekta kumi na tano pamoja na Magari mengine yapo njiani, huku akieleza kuwa malengo ya Jeshi ni kuwa na miundombinu  rafiki ya kuitoa Magereza hapa ilipo,  na mwangaza umeshaonekana.

“Ndugu zangu tunatengeneza miundombinu na tunafanikiwa, huo muda mnaosema miaka kumi naona mbali sana, mimi nasema miaka mitatu mje muone maajabu hapa” amesema CGP Mzee.

Meja Jenerali Mzee amezungumzia matumizi ya “video conference” magerezani amesema, Teknolojia ni nzuri hivyo jitihada zinaendelea ili kuifanya Teknolojia hiyo iweze kutumika katika Magereza yote nchini, huku suala la  ugonjwa wa corona akisema,  Jeshi linaendelea kufuata miongozo inayotolewa na wizara ya Afya, kwa kufuata taratibu zote.

Awali akisoma taarifa kwa mgeni rasmi Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Magereza Keneth Mwambinje ambaye pia ni msimamizi mkuu wa mradi huo amesema, mradi huo  unahusisha fremu za maduka, chumba cha kuoneshea bidhaa mbalimbali za Magereza (showroom), sehemu ya kuoshea magari (car wash).

Nyingine ni kumbi za starehe na shughuli zingine mbalimbali zinazotarajia kufanyika katika kitiuo hicho, huku gharama za mradi huo zikiwa ni shilingi Milioni mia tano na hamsini na moja, laki nne na elfu sabini,baadhi ya sehemu zimeshaanza kutumika.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Abdurahman Jumanne

Abdurahman Jumanne

Stay Connected test

  • 110 Follower
  • 168k Subscriber
  • 23.5k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

MBUNGE LINDI ATAKA VIJANA WAJISHUGHULISHE

July 8, 2021
DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

DK. MWINYI ASISITIZA UIMARA WA UCHUMI

0
MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

MAJALIWA AANIKA SIRI UJENZI VYUO VYA VETA

0
RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

RAIS MUSEVENI AKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI

0
USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

USWISI KUENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO TANZANIA

0
TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022
SHAKA AZIAGIZA WIZARA TATU MISITU YA HIFADHI

SHAKA AZITAKA TAASISI ZA UMMA NCHINI KUTENGA BAJETI ZA MIRADI

May 18, 2022
WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

WIZARA YAANIKA MKAKATI MPYA KUKABILI BEI YA MBOLEA, MAFUTA

May 18, 2022

Recent News

Instagram Youtube Twitter VK Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 2021
  • Afya Makala
  • BURUDANI
  • Business
  • GAZETI LA BURUDANI
  • GAZETI LA UHURU
  • GAZETI LA UHURU MACHI 17
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Uncategorized

Recent News

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

TAKUKURU YAIVALIA NJUGA MIRADI ILIYOKATALIWA MBIO ZA MWENGE

May 18, 2022
VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

VIKUNDI VILIVYOPATA MIKOPO YA BILIONI 4/- VYAITWA TAKUKURU

May 18, 2022

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In